Serikali imesema itaendelea kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za Uchumi wa Buluu nchini ili kuhakikisha wananchi ...
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fatuma Mwasa ameiomba Wizara ya Kilimo kujenga masoko ya zao la ndizi mpakani ili kuwainua wakulima ...
THOMAS Tuchel amethibitishwa kuwa kocha mpya wa kudumu wa England akilamba mkataba wa miezi 18. Chama cha Soka England(FA) ...
WAFANYABIASHARA wa soko la Manundu na watumiaji wa stendi ya Kijazi wilayani Korogwe wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk ...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni ...
WAZAZI mkoani Mtwara wametakiwa kupelekea watoto shule ili waweze kupata elimu itakayowasaidia kukabiliana na fursa ...
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeishukuru serikali kwa kukipatia fedha zaidi ya Sh bilioni 70 ambazo zinazotarajia ...
Hapo jana, Jaji wa Mahakama Kuu Chacha Mwita amesema Mahakama ilitoa kibali kwa wabunge wa seneti kumuhoji Gachagua kwa mujibu wa katiba. Hali hii inakuja wakati Naibu Rais akikabiliwa na shinikizo ...
TIMU ya Pamba Jiji inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imeamua kuachana na Kocha Mkuu klabu hiyo Goran Kopunovic. Taarifa ya Pamba Jiji iliyotolewa na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu Ezikiel Ntibikeha leo i ...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limewatahadharisha mamilioni ya watu wanaoishi katika ukanda wa Kusini mwa Afrika kujihadhari na tatizo la ukame ...
PICHA za matukio mbalimbali ya kuaga mwili wa marehemu Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) jijini Dar es salaam leo ambapo kesho unatarajiwa kuzikwa Mkoani Mara. ( Picha na Samwel Swai) ...
DAR ES SALAAM; Mbio za TASWA Mwambao Marathon zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambazo awali zilikuwa zifanyike mwishoni mwa mwezi uliopita sasa zitafanyika ...