WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni ...
WAZAZI mkoani Mtwara wametakiwa kupelekea watoto shule ili waweze kupata elimu itakayowasaidia kukabiliana na fursa ...
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeishukuru serikali kwa kukipatia fedha zaidi ya Sh bilioni 70 ambazo zinazotarajia ...
Hapo jana, Jaji wa Mahakama Kuu Chacha Mwita amesema Mahakama ilitoa kibali kwa wabunge wa seneti kumuhoji Gachagua kwa mujibu wa katiba. Hali hii inakuja wakati Naibu Rais akikabiliwa na shinikizo ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema watafiti wa kisayansi wanapaswa kuthaminiwa kwani uwepo ...
WACHIMBAJI wadogo wa madini Mkoa wa Geita wamehamasishwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kushiriki katika ...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI-Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa ...
WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali imefanikiwa kukusanya bil 287 ikivuka lengo la awali la makusanyo shilingi ...
UMOJA wa Mataifa umesema hawataondoa walinda amani wake kusini mwa Lebanon na wataendelea kusaidia raia licha ya matakwa ya ...
PROFESA Mshiriki wa Maendeleo ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof Abel Kinyondo ameishauri Serikali kutoa taarifa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali amesema Serikali imewekeza miundombinu ya Afya kutokana ...
DAR ES SALAAM: Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka 2024, Vodacom Tanzania Plc leo imezindua duka jipya— ...