Hapo jana, Jaji wa Mahakama Kuu Chacha Mwita amesema Mahakama ilitoa kibali kwa wabunge wa seneti kumuhoji Gachagua kwa mujibu wa katiba. Hali hii inakuja wakati Naibu Rais akikabiliwa na shinikizo ...
TIMU ya Pamba Jiji inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imeamua kuachana na Kocha Mkuu klabu hiyo Goran Kopunovic. Taarifa ya Pamba Jiji iliyotolewa na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu Ezikiel Ntibikeha leo i ...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limewatahadharisha mamilioni ya watu wanaoishi katika ukanda wa Kusini mwa Afrika kujihadhari na tatizo la ukame ...
PICHA za matukio mbalimbali ya kuaga mwili wa marehemu Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) jijini Dar es salaam leo ambapo kesho unatarajiwa kuzikwa Mkoani Mara. ( Picha na Samwel Swai) ...
“NDOTO yangu ya kuwa daktari imetokana na matakwa pamoja na dhamira ya kusaidia wagonjwa. Mimi na wazazi wangu tulipata shida sana katika mambo ya tiba hivyo nilitamani kuwa daktari kusaidia jamii. Ha ...
MWENDESHA mashtaka wa ICC Karim Khan amesema ataanzisha upya uchunguzi wa uhalifu uliofanyika tangu mwaka 2022, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
DAR ES SALAAM; Mbio za TASWA Mwambao Marathon zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambazo awali zilikuwa zifanyike mwishoni mwa mwezi uliopita sasa zitafanyika ...
DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema ubora wa wachezaji wa DR Congo umeamua matokeo ya mechi ya kuwania kufuzu fainali za Matai ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema watafiti wa kisayansi wanapaswa kuthaminiwa kwani uwepo ...
WACHIMBAJI wadogo wa madini Mkoa wa Geita wamehamasishwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kushiriki katika ...
UMOJA wa Mataifa umesema hawataondoa walinda amani wake kusini mwa Lebanon na wataendelea kusaidia raia licha ya matakwa ya ...
WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali imefanikiwa kukusanya bil 287 ikivuka lengo la awali la makusanyo shilingi ...